Tanasha Donna aiaga familia ya diamond platnumz
Siku tatu baada ya kufuta picha zote za diamond platnumz, Tanasha ameiaga familia nzima akidai kuwa hawezi kuwa kwa uhusiano na diamond platnumz Tena. Tanasha amedai kuwa na diamond ni kuumiza moyo bure.
Tanasha amesema kuwa hatarudi kamwe huko na ataendelea na maisha yake Kama ilivyokuwa hapo awali. Ni wiki kadhaa baada ya hawa wawili kuachia nyimbo ya “gere”. Nyimbo hiyo ilipata mapokezi mazuri na iliweza kupata zaidi ya views milioni mbili
4,334 total views, 2 views today
Pingback: Je, Alikiba kumtumia Hamisa Mobetto kumechangia Nini? Soma hapa - MWANGAZA NEWS
Pingback: Tofauti ya maisha ya Zari Hassan na tanasha Donna ndani ya uhusiano na diamond platnumz - MWANGAZA NEWS